samia bond

Samia speaking people live in Western Kenya and Eastern Uganda. They are composed of several clans and their ancient economic activities include fishing in Lake Victoria and other rivers such as River Sio, crop farming (obulimi), and animal farming (obutuki).
The Samia speaking people, as widely known by other tribes, predominantly live in Busia districts (Both in Kenya and Uganda) and speak a dialect similar to the Luhya tribe in Kenya. However, on the Ugandan side there is a slight variation in the dialect spoken by the Samia of Southern Busia on the fringe of Lake Victoria and those of North Busia district closer to Tororo District. The former speak Olusamia while the latter speak Olugwe. The two dialects are difficult to differentiate by non Samia speaking people but easily discernible by the natives. and in Uganda mainly found inbusia and Namayingo district.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ninakumbushia Gawio langu la Samia Bond

    Niliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita. Ninaomba niwekewe gawio langu kama uwekezaji ulivyoelekeza. Nawasilisha.
  2. K

    Tunasubiri gawio la awamu ya pili ya Mama Samia bond

    Tuliwekeza kwenye Mama Samia Bond. Wakati wa gawio la awamu ya pili baada ya miezi mitatu mitatu imefika. Tunaisubiri kwa hamu kubwa.
  3. K

    Nashukuru nimelipwa gawio langu kutoka Mama Samia Bond

    Ninashukuru sana kupata gawio langu toka Mama Samia Bond baada ya kupiga kelele nyingi. Mbona tena nimeona imekatwa kodi ili hali mlituaminisha kuwa itakuwa haikatwi kodi?. Nawaomba msiwe mnatucheleweshea gawio na kama ilivyo taratibu ni baada ya miezi mitatu. Ahsanteni sana kwa kujali.
  4. K

    Kuhusu Mama Samia Bond za CRDB

    Tulitangaziwa na kuaminishwa na CRDB juu ya Mama Samia Bond kuwa ni uwekezaji mzuri unaotoa faida 13% baada ya miezi mitatu. Mimi niliona ni fursa na nikaweka fedha zangu mwanzoni mwa Januari, 2025 nikitarajia kuwa baada ya miezi mitatu nitawekewa gawio langu la 13%. Mpaka leo sijawekewa...
Back
Top Bottom