Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake ya siku 100 za kuimarisha huduma kwa wananchi.
Uzinduzi huo utaashiria kuanza rasmi kwa utekelezaji wa mfumo wa Bima ya...
Mgombea wa nafasi ya rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassana akizungumza na Wananchi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo, tarehe 18 Septemba, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema ahadi za Chama cha Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.