same mashariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    GE2025 ACT Wazalendo, Same Mashariki mabango ni mengi kuliko Maendeleo

    Chama cha ACT Wazalendo kimeonesha kutoridhishwa na namna Mbunge wa Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Bi. Anne Kilango Malecela anavyolihudumia jimbo lake kikisema kuwa alitoa taarifa za uongo bungeni kuhusu uwepo wa viwanda vya tangawizi jimboni humo, kinyume na uhalisia uliopo kwa wananchi...
  2. N

    Kwako Waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa , Mbunge wa Dame Mashariki Anne Kilango Nikuhusu barabari ya LUGULU-NDUNGu

    Nikuhusu barabari ya LUGULU-NDUNGu yenye urefu wa kilomita 12, barabara hii tangu iharibiwe na mvua za msimu wavuli mwaka 2023 barabara hii haipitishi gari lolote. Wananchi wakata Yalugulu tunapata shida, tunateseka sana maana hakuna usafiri wa magari hasa kipindi cha mavuno ya tangawizi...
Back
Top Bottom