Ndugu zangu,
Kuna maelekezo hapa kutoka kwa Naibu Waziri. REA na TANESCO ujumbe uwafikie popote mlipo
======
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa wateja wote wanaolipia huduma...
"Mhe. Rais wewe kama uwaridi unayo miba ambayo ni sheria nzuri, kanuni, taratibu, mila na desturi ambapo pale ulipotaka kuonesha waridi lako kwa kuweka 4R walipotaka kukuchokoza waliishia kwenye mikono ya sheria.
Wewe kama ua zuri ulipotaka kuweka demokrasoa na uwanja sawa wa siasa wale ndugu...
Huu mwaka mtamu sana, Hawa covid-19 ,walikuwa na jeuri aswaa. Huyu Lissu alipodai reforms alimtukana sana bungeni Ili aonekane.
Na alijiapiza Kwa jeuri kuwa atarudi bungeni.
Leo amefyekelewa mbali na wajumbe wa CWT. Bunge ataliona kwenye TV.
Nawasubiri wajumbe wafyekele mbali hawa watu, na...
SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Salome amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Mkoa wa Shinyanga Habiba Musimu.
"Tusipotoshe umma kutaka kutekeleza jambo ambalo tunajua hata wale wanaopendekeza hawajatekeleza wajibu wao. Utaratibu wa utunzi wa sheria unasema mtu binafsi, Mbunge au Wizara yenye dhamana wanaweza kupeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria serikalini na ukipeleka serikalini mapendekezo yale...
Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba, amesema kuwa yeye bado ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na ataendelea kuwa hivyo hadi atakapotoa taarifa rasmi ya kuondoka. Kauli hii ameitoa leo, Aprili 15, 2025, nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, alipokuwa akizungumza na...
Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba mmoja kati ya wabunge 19 wa Viti Maalumu CHADEMA amekataa msimamo wa Chama kuzuia Uchaguzi huku akisisitiza kuwaunga mkono kundi la G55 ndani ya Chama hicho.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anapaswa kuungwa mkono pindi atakapochukua fomu ya kugomea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 baada kukubali kutoa bilioni 6.7 kwaajili ya...
Mtu anaestahili kutozwa faini ya 2m hadi 20m ingepaswa iwe ni yule tu ambae atahamisha (diverge) mto bila kibali sio yule anaetumia maji tu bila ya kuhamisha chanzo cha maji. maana uzito na ukubwa wa makosa yao haufanani kiasi cha kuhukumiwa kwa adhabu ilele ya aina moja na ukubwa uleule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.