Salma Kikwete (born 30 November 1963) is a Tanzanian educator, activist, and politician who served as the First Lady of Tanzania from 2005 to 2015 as the wife of Tanzanian President Jakaya Kikwete.
Salma Kikwete originally worked as a teacher for more than twenty years.
In 2005, the government launched a national campaign for voluntary HIV/AIDS testing in Dar es Salaam. Salma Kikwete and her husband were among the first in the country to be tested. As of 2009, she was Vice President of the Eastern Region of the Organisation of African First Ladies against HIV/AIDS (OAFLA). In 2012, the First Lady Salma Kikwete, former Botswana President Festus Mogae and ten other African figures partnered with UNESCO and UNAIDS to support the Eastern and Southern Africa Commitment on HIV Prevention and Sexual Health for Young People, which was launched in November 2011.
Kikwete also founded the Wanawake na Maendeleo, or Women in Development (WAMA), a nonprofit which promotes development among women and children.
Over a year after her husband left office, Salma Kikwete was appointed to a seat in the National Assembly by President John Magufuli on 1 March 2017.
Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji.
Akijibu swali hilo...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete amesema kuwa dunia inamtambua Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo watanzania, akieleza kuwa jambo hilo limethibitika kwa kuwepa tuzo kubwa za kutambua mchango wake hivi karibuni.
Ameeleza kuwa Rais Samia...
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani...
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salma Kikwete 'Mama Salma' amesema, maendeleo makubwa yaliyofikiwa jimboni humo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni kama muujiza kwani kwa muda mfupi tu amegusa nyanja mbalimbali.
Amesema hayo leo Septemba 25...
Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana.
Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka huu 2025 katika jimbo la Mchinga apite bila kupigwa kwenye kura za maoni na ndicho kilichotokea.
Soma...
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni
Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne
First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi
Anapigiwa mizinga
First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari
First lady Bi Salma alikuwa na...
Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!.
Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
Hii ndio hulka na desturi ya historia. Uongozi wa umma haupaswi kutolewa kama sadaka.
Hii mbegu wanayoipanda itakuja kuota na matokeo yake tutayaona. Hakuna sababu ya kuwapigia kura kesho spika awaite bungeni na kuwaapisha kuwa wabunge.
Jambo la Kushangaza, Hii familia nao wanafurahia tuu, hivi hata Ridhiwani alishindwa kumshauri Mzee Kikwete, Mzee chomekea majina walau Manne, ila tumalizane na Wajumbe ?.
Kwamba ukiwa Mwanafamilia ya Kikwete, Wewe tayari ni Kiongozi Bora kushinda Wenzio Jimbo Zima 🤣 haya ni maajabu.
Lakini...
Wakuu Kama Kuna wakati ambao tunatakiwa kupigania mabadiliko ya kweli Basi ni kipindi Kama hiki
Habari kutoka kwenye corridor za kizimkazi zinasema mtoto na mama Wote watapita bila kupigwa kwa sababu wameandaliwa wapinzani mamuluki Chauma na Act
Baada ya kupitishwa bila kupingwa wote watapewa...
Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
Mbunge wa Jimbo la Mchinga Salma Rashid Kikwete amejitokeza kuchukua fomu kuwania tena kwa mara nyingine ubunge wa Jimbo la Mchinga
Amechukua fomu hiyo mapema leo kwenye Ofisi za Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Mjini na kukabidhiwa na Mohamed Lawa ambaye ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo
Wanamchinga wameniambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.Kimsingi, anasisitiza kwamba wananchi wa jimbo hilo wamemwambia wataendelea kumchagua mradi atakapojihisi anahitaji kupumzika, yaani ataendelea kuongoza mpaka yeye mwenyewe aamue kuacha.
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako."
Ameyasema...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete amewapongeza wenza wa viongozi kwa kuwapa faraja viongozi pindi wanapokabiliana na mambo magumu.
“Uongozi ni wote Mh. Mwigulu au Rais Samia Suluhu Hassan ana mwenza wake na sisi wabunge tuna wenza wetu tunawapongeza sana Wabunge hawa,wenza wa wabunge...
Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Soma > Serikali yapunguza kodi...
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha kwaajili ya ujenzi wa vyoo vya wasichana katika shule mbalimbali hapa nchini.
Chanzo: ITV
USSR