Kwema wanachemba.
Tumeshuhudia tangu kuondoka kwa mwendazake kumekuwa na sauti nyingi sana zikipazwa kwa nguvu sana tena na wengine waliokuwa wasaidizi wake wa karibu sana kujaribu kutuaminisha kuwa mwendazake alikuwa mtu hovyo sana !!!! Wanachosahau ni kuwa na wao walikuwa watu muhimu sana...