Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo utatolewa tarehe 11 Februari 2026 saa tatu asubuhi.
Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.