Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amewataka Watanzania, hususan Wazanzibari, kuacha mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
Soud ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi za...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party, Said Soud, ameendelea na kampeni zake huku akiahidi kwamba vikosi vya SMZ vitashirikishwa katika kilimo cha nazi na karafuu ili kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa Zanzibar.
Pia Soma: GE2025 - Said Soud Said...
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud, amesema hakuna chama cha siasa chenye uwezo wa kuiondosha Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani kutokana na uimara na umoja wa chama hicho.
Soud alibainisha kuwa AAFP ipo tayari kushirikiana na CCM na kumuunga mkono mgombea...
Mgombea Urais kupitia chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP) Zanzibar, Said Soud Said amesema akiwa Rais vijana wataweza kujihusisha na kilimo cha bangi ili waweze kupata fedha za kutosha na za kigeni kununua magari, kujenga majumba na kuweza kuoa wake watatu hadi wanne...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa
Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.