Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa kuwepo kwa magari ya polisi barabarani ni kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi
“Magari ya polisi...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi kuhakikisha usalama na kuwa uchaguzi unafanyika kwa amani
"Na yote hii ni...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa yeyote atakayevunja sheria Jeshi la Polisi litahakikisha anashugulikiwa kwa mujibu wa sheria
Aidha ameonya kuwa sheria ifuatwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.