sabasaba 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Wananchi 1,908 watembelea Banda la MOI Maonesho Sabasaba 2025

    Wananchi 1,908 wametembelea Banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya 49 ya kimataifa ya biashara, Sabasaba 2025 yaliyomalizika leo Julai 13, 2025 Hayo yamebainishwa leo Julai 13, 2025 katika kilele cha Maonesho hayo na Daktari bingwa Mbobezi wa Mifupa...
  2. PendoLyimo

    Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  3. Crocodiletooth

    Ni wakati sasa wawakilishi wa viwanda mbalimbali toka China kualikwa sabasaba 2025

    Naomba nimpe kibarua pia nimpongeze January Makamba, kwa uongozi safi wa wizara husika, hakika upele umepata mkunaji. Lengo la uzi huu ni kumuomba Makamba kuwaalika wawakilishi wa viwanda vya China hapa nchini, katika sabasaba 2025, ili wawakilishi hao wafanye kazi mbalimbali ikiwemo kuwasaidia...
Back
Top Bottom