Wakenya walitoka kwa wingi na kuandamana,
Wakenya walipata sapoti ya Media,
Wakenya walipata sapoti kubwa ya wasanii na watu mashuhuri,
Wakenya walifanikiwa kuandamana mpaka kuingia Bungeni, wakalishikilia Bunge,
Wakenya walitengeneza movement kubwa iliyoongelewa duniani kote.
Japo wakenya...