ruti

Rüti (sometimes written as Rüti ZH in order to distinguish it from other "Rütis") is a Swiss town and a municipality in the district of Hinwil in the canton of Zürich. The river Jona flows through the town.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali isikie kilio cha Barabara ya Goba Mpakani, ruti zinabadilishwa, wanapandisha nauli kiholela

    Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida. Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe 5 Mei, 2023 eti imesababisha tubadilishiwe ruti na nauli ipande, je hii ni sawa? Mwezi uliopita...
  2. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

    Irudisheni / iwekeni upesi kwani zamani wakati wa Mzee wetu Mwaibula ilikuwepo na kwa Taarifa yenu sasa hiyo Ruti in Watu wengi na itawalipa wenye DalaDala. Nami niwajibu kuwa mbona hata Njia (Ruti) ya Kariakoo (Gerezani) DalaDala za Kawe - Gerezani (Kariakoo) zipo pamoja na kwamba hata Mabasi...
Back
Top Bottom