rushwa inatuvuruga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waziri wa Ardhi wekeni TAKUKURU kwenye mabaraza ya ardhi. Wananchi wanapoteza sana haki zao kwenye hayo mabaraza

    Assalamu alaikum, Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nimekuja huku kukuomba kwa heshima kubwa—tafadhali wekeni TAKUKURU kwenye haya mabaraza ya ardhi. Watanzania wengi wamepoteza haki zao kwenye haya mabaraza. Haitoshi, wengi wameyafanya kuwa sehemu ya biashara zao—wale wenye hela ndio wanapewa...
  2. DOKEZO Kusua sua kwa Ujenzi wa barabara za BRT ni dalili tosha ya rushwa

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kiongozi akila rushwa katika shughuli za kiserikali, aliyepokea rushwa hana uthubutu wa kumchukulia hatua mtoa rushwa. Wachina wanajulikana, na siyo siri, kutoa rushwa katika kupata miradi mingi ya ujenzi wa barabara. Mfano mkubwa ni barabara za BRT mjini Dar es...
  3. Zifahamu nchi zisizokuwa na rushwa Afrika Mashariki. Tanzania yashika nafasi ya 2

    Wakuu, Taasisi ya Transparency International imeorodhesha nchi zinazoongoza kwa rushwa duniani na kwa Afrika Mashariki Tanzania inashika namba 2 kama nchi ambayo ina rushwa kidogo zaidi katika ukanda huu. Source: Buzzroom Kenya, Transparency International
  4. Jitihada za Serikali za mitaa na kata kufunika maovu

    Habari Wana Jamii forum, nitumaini langu wote mnaosoma hii post muwazima. Ni kwa uchungu mwingi nawaleteeni discussion ya maovu mengi yanayofichwa nakusokomezwa chini ya jamvi yanayofanywa na baadhi ya watendaji wa kata na wasimamizi wa serikali za mitaa. Siku hizi tumekuwa tukiona vimbwanga...
  5. Rushwa ndio imetuvunja miguu, bado kidogo tu ituvunje na kiuno

    Rushwa inaua sana utendaji wa ari, kujituma, ubunifu, na kujali. Tujitahidi ila tuombe viongozi wetu waone rushwa ndio chanzo cha mkwamo wala sio vyama vya siasa wala dini wala kabila wala chochote bali ni rushwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…