Kwa waliopata nafasi ya kuyasikiliza mahojiano ya Jaji Joseph Sinde Warioba na mwandishi wa habari nguli, mzee wetu Jenerali Ulimwengu, watakubaliana na mm kuwa hayakuwa mahojiano ya kawaida.
Kwaajili ya kuweka kumbukumbu sawa ni vyema tukakumbuka Joseph Sinde Warioba ni mwanasheria aliyepata...