Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kamanda wa polisi mkoa wa Tabora, Richard George Abwao aliyefariki dunia Juni 20 mwaka huu katika hospitali ya Muhimbili Dar es Salaam wakati wa tukio la kuaga nyumbani...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Richard Abwao, amesema kuwa wananchi wa mkoa huo ndio walinzi wa kwanza wa amani na amewapongeza kwa ushirikiano mzuri na jeshi la polisi, hasa katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu.
Soma pia GE2025 - RPC Marko Chilya: Hakuna anayeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.