Kuna madogo katika soka academy iliyoko Mwanza wameuawa kutokana na kadhia ya Oct 29.
Hawa madogo hawakuhusika kwa namna yoyote ile na maandamano, wala vurugu zilizotokea.
Hivi kuna ulazima wa kusubiri ripoti ya Jaji Chande Othman ili kuwachukulia hatua waliohusika?
Afrika tuna bahati mbaya...
Jana nimeona Kamanda wa Polisi Mwanza SACP MUTAFUNGWA akielezea kupiga marufuku mikusanyiko ya Chadema hapa Mwanza.
Nikakumbuka Wiki kadhaa nyuma kuna mfanya biashara aliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha mpaka leo jeshi hilo pamoja na Intelijensia waliyonayo ya kung'amua mambo...
Sisi wananchi wa Mkoa wa Mwanza tunakupongeza sana kwa uchapaji wako wa kazi katika Mkoa wetu. Tangu ulipohamishiwa katika Mkoa wetu matukio mengi ya kihalifu yamepungua sana.
Katika funga kazi ya kukupa maua yako ni pale ulipofanikiwa kuwaokoa watoto wawili waliotekwa na wahalifu kwa kuwakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.