Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali.
Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
Rose Ndauka mwenyewe anasema "Sina Chama chochote lakini nipo huru kutoa maoni yangu,Wewe kaka acha kunifatilia wewe kula hela za watu lakini achana na mtu Mimi,mbona ni mtu mdogo tu
Mbaya zaidi siku nikifa utataka kuja mbele kuwa mstari wa mbele....Niache "
Mfuatilie kwa uzuri hapa
Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc Waufukweni
Kupitia Instagram page yake ameandika:
"Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta husika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi...
Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na post za msanii Rose Ndauka, ambapo ameweka wazi kuwa yeye hana chama, lakini pia yupo kwaajili ya kutetea Watanzania. Kwa wasanii wa kike Rose Ndauka amekuwa wa kwanza kusimama na wananchi na kuonesha wazi kutofumbia macho udhalimu unaofanywa.
Rose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.