roho nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Uliwahi kuwa na boss Mzungu, mchina, Mwarabu?? What was your experience?? Siku boss wangu Mzungu anaondoka mwaka 2018, alitupa staki zote kwa mujibu wa sheria plus 900,000/= kila mmoja wetu kutoka katika akiba yake baada ya kuuza assets zote na kurejea kwao Denmark...
  2. JamiiForums Tanzania Wadada wenye roho nzuri mara nyingi ndiyo wanaoongoza kwa kuumizwa

    Kuna wadada ambao ukiwa nao karibu, utagundua wana moyo wa tofauti. Ni watu wanaojali, wanasaidia pale wanapoweza na huwa hawapendi kumuona mwingine akiteseka. Lakini cha kushangaza, mara nyingi watu kama hawa ndio hujikuta wakiumizwa zaidi. Anaweza kuwa rafiki anayekusimamia wakati wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama ulitaka kuzaa basi ukubali kuwa macho na mtoto wako mnawapa kesi wengi wanye roho nzuri au watu wanakumbwa kwa careless zenu

    Kuna mada hapa zilishaeleza malalamiko kuhusu watu wengi wanajikuta wakiingizwa kwenye kesi ambazo mda mwengine na yeye kama anajiuliza ilikuwaje. Nilichojifunza kwa wenzetu ni kwamba kama ulishindwa kulea.serikali itakunyang'anya na kuwa adopted kwa lazima. Lilikuwa sio jambo baya ila kuepuka...
  4. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  5. JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Mimi nina Roho nzuri lakini Wabongo walinipa mtihani huu nikashindwa, acha wanione nina Roho mbaya tu

    Ana andika, Robert Heriel Mtibeli Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kutegemewa na ambao wanafunzi wengine walikuwa wakihitaji msaada wa Majibu kutoka...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Usiotarajiwa Kuhusu Wenye Roho Nzuri: Kwa Nini Upole Wako Unaweza Kuwa Kikwazo Kwenye Mapenzi?

    Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu! Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
  8. JamiiForums Tanzania Tujadili Maisha: Ni kweli Watu wenye roho nzuri hawafanikiwi kimaisha wakati wenye roho mbaya wanatoboa Kirahisi?

    Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…