Shalom Shalom.
Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...