ridhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyumba iliyokuwa na mgogoro ikidaiwa hati imebadilishwa bila ridhaa ya wahusika yabomolewa Kikuyu Dodoma

    Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara wa Shule za Msingi - Mbulu DC (Manyara) wanatulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu

    Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba aikacha ACT Wazalendo, aomba ridhaa ya kurudi CCM

    Mwanaharakati na Mwanasiasa Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Januari Mosi, 2026, akisema amefanya uamuzi huo kwa hiari yake bila kushawishiwa na mtu yeyote. Katika barua ambayo imenaswa na Royal TV ikionesha uamuzi huo tangu mapema Januari...
  5. JamiiForums Tanzania Lucy Mwakyembe: Wafanyakazi washauriwe kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi wanavyotaka, wasiungwe bila ridhaa yao

    Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini inathibitisha haki hiyo. Baadhi ya taasisi za kazi imekuwa ikiwalazimisha wafanyakazi kwenye vyama vya...
  6. O

    JamiiForums Kenya “Je, ndoa ni leseni ya ridhaa ya milele? Ukweli mchungu kuhusu ubakaji ndani ya ndoa ambao jamii inakataa kukubali.”

    Kwa ndoa Kuna ubakaji unakubaliana
  7. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM hawana Plan ya kueleweka kuendelea kushika Dola kwa ridhaa. Wana Missing systems za kutosha

    Hamjambo wote! 1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s. 2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako unakuwa mashakani. 3. Missing System ni uwepo wa ombwe la kimkakati, mfumo muhimu ambao unapaswa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

    Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ndonge Said Ndonge: Nikipata ridhaa ya kuwa Spika wa bunge nitainua vipato vya wabunge

    Mgombea nafasi ya Spika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Ndonge Said Ndonge kutoka chama cha Alliance for African Farms Party (AAFP) akizungumza leo Novemba 11, 2025 kuomba ridhaa ya wabunge kumuunga mkono na kumchagua katika nafasi hiyo amewahaidi kuongeza vipato vya wabunge...
  10. JamiiForums Tanzania Kuongezwa kwenye makundi ya shughuli/sherehe bila ridhaa ni kero

    Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅 Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si vibaya kuuliza kwanza kabla ya kuongeza mtu kwenye kundi la michango. Maisha ni magumu, commitment...
  11. JamiiForums Tanzania Ifahamu Misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Taarifa binafsi ni mali ya mhusika (mmliki wa taarifa). Haitakiwi kutolewa na mtu mwingine, kwani mhusika ndiye anayefahamu taarifa zake kwa usahihi, isipokuwa pale inapobidi kisheria au kwa ridhaa yake. Ukusanyaji wa taarifa binafsi unatakiwa kufanywa na mamlaka au vyombo husika kwa kuzingatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…