Umoja wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Tanzania (TAMIU) umeiomba Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya fedha kwa wakopaji, hatua inayolenga kupunguza changamoto zinazokabili sekta hiyo pamoja na kuboresha urejeshaji wa mikopo.
Akizungumza jijini Dodoma wakati wa...