reforms za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Hivi mnajua kuwa hoja ya kutaka reforms za uchaguzi ilianzishwa na ACT WAZALENDO ila wakaambiwa wanatumika na chama tawala kuipamba katiba mbovu

    ACT kilikuwa chama cha kwanza kuhitaji reforms za kikatiba ili zitusaidie kwenda kwenye uchaguzi huru na wa haki. Lakini hakuungwa mkono akaonekana msaliti anatumiwa na CCM kuiremba katiba.Na wakosoaji wakaenda mbali wakasema wao wanataka katiba mpya sio reforms. Kiuhalisia ACT sio chama...
  2. tonicimmobility

    GE2025 Paresso: Reforms tulizozitaka tukiwa CHADEMA zimefanyika CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu. Soma pia...
  3. Waufukweni

    GE2025 NCCR Mageuzi: Reforms zimeshafanyika, uchaguzi utafanyika

    Chama cha NCCR-Mageuzi kimefanya uchaguzi wake mkuu na kumchagua Evaline Munisi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Katika uchaguzi huo uliofanyika leo, Machi 30, 2025, katika Ukumbi wa St. Gaspar jijini Dodoma, Evaline Munisi alipata kura 34, akimshinda Saganda...
  4. Tabutupu

    Leadership Renewal in Tanzania: A Car Service Analogy as per Amb H Polepole

    The Imperative of Leadership Renewal in Tanzania A Car Service Analogy by H. POLEPOLE Tanzania's political system, much like any intricate machinery, necessitates consistent maintenance and periodic major overhauls to ensure optimal functionality. The analogy of servicing a car offers a clear...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Kusubiri CCM wakubali kutoa Reforms ili Uchaguzi ufanyike ni kupoteza muda

    Katika mambo ambayo CCM wamefaulu ni kujipenyeza na kuweka mizizi kwenye kila ofisi ya umma. Ofisi zote za umma CCM wameziweka kwapani. That's why Gwajima alisema CCM iwape CHADEMA reforms na si INEC yenye mamlaka. Kwahiyo reforms zikitoka ni zile structured kutoka ofisi ya CCM ambazo ni...
  6. Mindyou

    GE2025 Picha: Emmanuel Nchimbi afanya kikao kizito na mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU). Je, wameenda kuongelea masuala ya 'Reforms' za Uchaguzi?

    Wakuu, Nimeona Nchimbi ameenda kukutana na mabalozi wa EU. Je hii ina maana kwamba watakuwa wameenda kuzungumzia masuala ya kisiasa nchini na kuhusu No Reforms No Election? Hapa sidhani kama wameenda kuzungumzia mambo ya kiuchumi maana wangemuita Jafo. Ila kama wamemuita Nchimbi maana yake ni...
  7. Nehemia Kilave

    Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  8. J

    PreGE2025 Reforms za Uchaguzi; Je, Tume, vyama na Wananchi wanaongea lugha moja?

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, mjadala kuhusu Marekebisho ya Mfumo wa Uchaguzi (Reforms) haukwepeki. Kuna wanaosema reforms tayari zimefanyika, huku wengine vikisema bado kuna kasoro na wengine wakisema hawatashiriki Uchaguzi hadi kasoro hizo zishughulikiwe Maswali muhimu ni je, 'Reforms'...
  9. B

    PreGE2025 Butiku: Hata Rais Samia anajua umuhimu wa Reforms kabla ya uchaguzi. "Kwa hali ya sasa kuna rushwa, wizi, haki haipo!"

    Haya ni maneno ya Mzee Butiku: Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini? Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu? Ya nini kuitisha chaguzi viini macho? Ya nini kusumbua watu magerezani au hata kuwa na vyama vya siasa?
Back
Top Bottom