raraa reree

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FaizaFoxy, Raraa Reree, Depal na Nyani Ngabu ni watu ninaowakubali hapa JF

    Salam sana Wakuu, Moja ya watu nawakubali sana, ni hawa viumbe hapa jukwaani JF. Huezi amini huwa natamani siku Mungu anibariki nikutane nao uso kwa Macho huko mikoani au mataifa ya watu. Nitafuruhi kama atajitokeza yeyote just kuwaelezea ni watu wa namna gani kimuonekano, kimtazamo na maisha...
  2. Where the hell is Raraa Reree?

    raraa reree natumaini u mzima mkuu na uko around maana dimbani umekuwa hadimu. Tumebaki na min -me anatu gharamisha 500 kwa kila like moja😁😁 wakati za kwako zilikuwa bure kabisa
  3. Mwashambwa na Raraa Reree wamepotelea wapi?

    Hawa jamaa ni kama wamepotea ghafla. Au wamekula Ban?
  4. Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

    Ndugu zangu. Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako...
  5. Jana wamempa sifa ndugu raraa reree. Basi leo pia tumpatie sifa zake bwana min-me

    Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani. Leo pia nimpatie maua yake min -me Hapa chini ni min me akiwa amejituliza baada ya siku nzito ya kupeana likes...
  6. Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…