Wakuu
Msanii Rapcha ametoa taarifa za kupotea kwa ndugu yake Isack Katinde, mwenye umri wa miaka 29, ambaye alitoweka jijini Dodoma tarehe 6 Novemba 2025 majira ya saa tano usiku.
Kwa mujibu wa Rapcha, Katinde alipokea simu kutoka kwa mtu aliyedai kuwa ni bosi wake na akaondoka kwenda kukutana...
Dunia ya muziki wa hip hop mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya wasanii kuwa kwenye kutokuelewana ama bifu, lakini mashabiki wengi sasa wanaamini ni muda sahihi kwa Disasta Vina kumfungulia tena milango Rapcha.
Vijana hawa wawili wamewahi kuandaa vibao vilivyotikisa, lakini ule mstari maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.