ramadhan kailima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima: Ni kosa Kisheria kumiliki Kadi zaidi ya moja ya Mpiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima amesema kila mwananchi mwenye sifa za kupiga kura anastahili kujiandikisha mara moja na kupewa kitambulisho kimoja cha mpiga kura. Kailima amefafanua kuwa, ikiwa kadi ya mpiga kura imeharibika kwa namna...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Kailima: Viongozi wa Vyama tumieni ushawishi wenu kuwahamasisha Wananchi kujitokeza kujiandikisha

    Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima katika mahojiano na CG FM Radio amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuwashawishi wananchi kujitokeza kujiandikisha katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili lililoanza...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi INEC: CHADEMA hawakuwalisha maoni, hatuna taarifa rasmi ya kususia kwao

    Wakuu, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema haijapokea taarifa rasmi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kusudio la kutohudhuria hafla ya utiaji saini wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, wala maoni yoyote ya maandishi kuhusu mapendekezo ya marekebisho ya kanuni...
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mkurugenzi INEC Ramadhan Kailima: Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake

    Tume huwa haikati majina ya wagombea kwa matakwa yake…tume huwa inakata kutokana na makosa kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizotungwa na Bunge…” - Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima akivisihi vyama vya siasa kutulia wakati wa ujazaji wa fomu ili...
  5. Rashda Zunde

    PreGE2025 INEC: Chama kisichosaini kanuni za maadili ya uchaguzi, hakitashiri Uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema kwa mujibu wa kanuni Chama kisichosaini kanuni za maadili hakitashiriki uchaguzi. “Chama cha siasa ambacho hakita saini kanuni za maadili ya uchaguzi kesho hakitapata fursa ya kushiriki uchaguzi mkuu…”...
  6. Idugunde

    Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

    Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
Back
Top Bottom