Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
Timu ya Namungo iko ugenini nchini Morocco kukipiga na Raja Casablanca kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Mpira uko mapumziko na mpaka sasa Raja Casablanca na Namungo hakuna alieona nyavu za mwenzake. Kuwa nami kukujuza ngwe ya pili ya mchezo huu.
=======
45' Kipenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.