rais wa madagascar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Madagascar: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja Baraza lote la Mawaziri

    Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina, ambaye alichukua madaraka kufuatia maandamano ya Oktoba 2025, amemfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri siku ya Jumatatu Machi 9, 2026, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na msemaji wake. Aidha taarifa hiyo iliyotolewa na Harry...
  2. Mafyangula

    ‎Madagascar: Kikosi maalum cha Kijeshi chamwondoa Madarakani Rais Andry Rajoelina

    ‎ Kikosi maalum cha Kijeshi nchini Madagascar cha 'CAPSAT' kimetangaza kuchukua madaraka, kikimwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina, baada ya Wabunge katika Bunge la kitaifa kupiga kura ya kumwondoa, licha ya Rais Rajoelina kutangaza kulivunja kabla ya kura kupigwa. ‎Kwa mujibu wa #BBCNews...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Rais wa Madagascar aondolewa madarakani na wabunge saa chache baada ya kuvunja bunge

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameondolewa madarakani kupitia kura ya bunge iliyopitishwa kwa kishindo. Katika kura hizo, wabunge 130 waliunga mkono hoja ya kumng’atua, huku kura moja ikiwa tupu. Hatua hii imejiri saa chache baada ya Rajoelina kulivunja bunge na kukimbia nchi kufuatia...
  4. R

    Rais wa Madagascar avunja Bunge baada ya kukimbia nchi, Upinzani wadai si halali kisheria

    Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
  5. Mafyangula

    Ofisi ya Rais wa Madagascar yasema kuna jaribio la kuchukua madaraka kwa nguvu

    Ofisi ya Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, imesema kuwa kuna jaribio la kuchukua madaraka kwa njia isiyo halali na kwa kutumia nguvu nchini humo. Masaa machache baadaye, kikosi cha jeshi kinachojulikana kama CAPSAT kilitangaza kwamba kimechukua uongozi wa kamandi kuu ya jeshi, na sasa...
  6. R

    Rais wa Madagascar amteua Jenerali wa Jeshi kuwa Waziri Mkuu mpya, licha ya waandamanaji kumtaka ajiuzulu

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Jenerali wa Jeshi 'Ruphin Fortunat Zafisambo kuwa Waziri Mkuu licha ya Waandamanaji kutaka Rais ajiuzulu Uteuzi wa 'Ruphin Fortunat Zafisambo' umefanyika wiki moja baada ya Rais Andry Rajoelina kuvunja baraza lake la mawaziri kufuatia siku kadhaa za...
Back
Top Bottom