rais wa korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mateso chakubanga

    Rais wa Korea kaskazini: Tutaipa Burkina faso msaada wo kijeshi.

    Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso. Sambamba na Korea kaskazini nchi...
  2. jmushi1

    Putin na Kim Jong UN wamekubaliana kusaidiana endapo mmojawapo atashambuliwa

    Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa. Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima awe na upande alochaguwa. Mafano wiki kadhaa zijazo, NATO nao wanakaa kikao kujadili namna ya...
Back
Top Bottom