Waziri Kombo Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro kwa Niaba ya Rais Samia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amepokea ujumbe maalum wa Rais wa Visiwa vya Comoro...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 02, 2024 amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Mhe. Azali Assoumani ambapo wamepata pia fursa ya kufanya mazungumzo kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili.
Balozi Yakubu ambaye aliwasilisha hati hizo za utambulisho kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.