rais wa china

Koihime Musō: Doki Otome Darake no Sangokushi Engi (恋姫†無双 ~ドキッ☆乙女だらけの三国志演義~; lit. "Love Princess†Unmatched: Throb Romance of Three Kingdoms Filled with Girls") is a series of Japanese adult visual novels and strategy video games primarily developed and published by BaseSon for the Windows and is based on the classic 14th century Chinese novel Romance of the Three Kingdoms by Luo Guanzhong. The first game was developed by BaseSon, and was first released on January 26, 2007, for Windows as two DVD-ROMs, followed by a re-release on April 11, 2008, containing an extra CD-ROM.
Koihime Musō: Doki Otome Darake no Sangokushi Engi has made several transitions to other media. A manga adaptation by Japanese illustrator Yayoi Hizuki was first serialized in the Japanese magazine Dengeki G's Festival! Comic on April 26, 2008. An anime adaptation produced by Doga Kobo began broadcasting on July 8, 2008, and has since released two additional seasons.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Waafrika wana maoni gani kuhusu kanuni ya “Ukweli, Matokeo Halisi, Ukaribu na Udhati” iliyotolewa miaka 13 iliyopita na Rais wa China?

    Tarehe 25 Machi 2013, baada ya Rais Xi Jinping kuchukua wadhifa wa Urais wa China, alitembelea Afrika kwa mara ya kwanza. Alipohutubia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwl. Nyerere nchini Tanzania, alitoa mara ya kwanza wazo la sera ya China kwa Afrika ya “Ukweli, Matokeo Halisi...
  2. Mi mi

    Kama sababu ni dawa za kulevya, kwanini Rais wa China hajatekwa mpaka sasa kama Maduro?

    Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa kwenda U.S kujibia mashitaka yake?
  3. Mkalukungone Mwamba

    Ufisadi Jeshini: Rais wa China awatimua vigogo 9

    Nchini China, siku ya Ijumaa, maafisa tisa, wakiwemo maafisa wawili wa juu wa jeshi, wamefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa Reuters, waliotimuliwa ni pamoja na Jenerali He Weidong na Admirali Miao wa Jeshi la Wanamaji. Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya China. Maafisa hao wamefukuzwa...
  4. General Mangi

    Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
Back
Top Bottom