rais wa botswana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Rais wa Botswana anawaheshimu wananchi waliomchagua awatumikie

    Kauli ya ilituendelee tunahitaji vitu.... Je tumefeli wapi?
  2. tonicimmobility

    Huyu ndo Duma Boko anaeipeperusha Botswana kimataifa

    Unamfahamu rais wa Botswana? Botswana ni nchi hii ilioko Kusini mwa Afrika, haina bandari na ina idadi ya watu zaidi ya milioni mbili unusu. Zaidi nchi ndiyo inazalisha almasi kwa wingi barani Afrika ikiwa na karati milioni 25 kwa mwaka. Rais wa taifa hilo ni Duma Boko ambaye aliingia madarakani...
  3. Magufuli 05

    Video: Sikiliza dira ya Rais wa Botswana halafu linganisha na kwetu. Utagundua sisi tupotupo tu

    Rais wa Botswana Duma Boko anaeleza kuwa kuna changamoto kubwa sana katika mchakato wa tenda za miradi na hivyo atahakikisha wananchi wote wanashirikishwa kwa ukubwa katika mchakato huo.
  4. and 998 others

    Marais A/Kusini, Namibia, Zambia Botswana hawakuhudhuria mazishi ya Papa Vatican. Tuna la kujifunza?

    1. Marais kadhaa wa wanachama wa SADC (Botswana, Zambia, Namibia , Afrika Kusini) wapo bize nchini mwao wakipambania wananchi wao wawe na maisha Bora. 2. Badala ya kwenda kuteketeza mamilioni kwa safari ambazo hata Balozi zao waliopo Rome wangeweza kuwakilisha.
  5. The Sheriff

    Vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko. Je, atatimiza kwa mwendo wa duma au atatoa boko?

    Baada ya kushinda uongozi ulioshikiliwa kwa karibu miongo sita na chama kimoja, hivi ni vipaumbele vitano vya Rais mpya wa Botswana, Duma Boko, kama alivyoahidi wakati wa kampeni na hata baada ya kushinda kiti hicho. Wananchi wa Botswana wanataraji kuona ahadi hizi zikitekelezwa kwa imani kuwa...
  6. The Sheriff

    Duma Boko aapishwa rasmi kuwa Rais wa Botswana

    Duma Boko ameapishwa rasmi kama Rais wa Botswana leo, Ijumaa Novemba 8, baada ya chama cha Botswana Democratic Party (BDP) kupoteza mamlaka yake katika uchaguzi uliofanyika Oktoba. Baada ya kutawala kwa miaka 58, BDP ilishindwa na muungano wa upinzani wa Boko, Umbrella for Democratic Change...
Back
Top Bottom