rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. . Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Alikiba aja na mashindano ya kumpigia debe Rais Samia 'Samia Celebrities and Companies Cup'

    Wakuu Machawa wa Samia hawapoi Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini. Kupata taarifa na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia hazijui 4R zake mwenyewe, Reform anayosema Mh.Lissu ni kati ya zile 4R!!

    Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya wananchi. Katika maendeleo na maisha ya wananchi huwezi kuweka pembeni Siasa. Siasa ndio inaamua hatma ya...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia

    Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta elimu. Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigella, ameyasema hayo wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Samia anapendwa, anaaminika na kukubalika sana kila kona ya Tanzania?

    Je, ni dhamira na nia yake njema kwa Taifa letu pekee? Au ni kwa namna alivyofanikiwa kuliunganisha taifa kwa falsafa yake ya 4Rs na kuifungua nchi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu? Au ni uwajibikaji wake wa viwango na record yake safi ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kwa muda mfupi na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Barabara ya Handeni - Kiberashi - Singida Ijengwe kwa PPP

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kukaa na Wizara ya Uchukuzi kukubaliana kwa pamoja kutafuta mwekezaji atakayeshirikiana nao kujenga barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijungu - Chemba - Kwamtoro - Singida (km 340) kwa ubia kati...
  7. JamiiForums Tanzania Machozi ya furaha yananidondoka kila wakati ni kitazama maendeleo makubwa yalioletwa na Rais Samia

    Rais wetu kipenzi cha Watanzania wote Dkt Samia Suluhu Hassani, hakika kazi unayoifanya ni kubwa sana maana kila kona ni maendeleo. Kwenye huduma za afya umeweka hela nyingi kama vile ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, madawa n.k Umegusa kwenye miundombinu ya barabara huko usiseme, Umeme upo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujumbe mzito wa Rais Samia kwa Waislamu wote Nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Taifa letu linaendelea kuwa lenye baraka na Neema kwa sababu linaongozwa na kiongozi Mwenye hofu ya Mungu, kiongozi Mcha Mungu,kiongozi mnyenyekevu, kiongozi mwenye kuishi Maisha yenye kumpendeza Mungu, kiongozi mwenye mikono safi na matendo safi ,kinywa safi na matendo...
  9. JamiiForums Tanzania Leo nimemshuhudia Rais Samia kwa macho yangu akitokea kwetu,kule mapenzi yalikozaliwa. Nimeona jambo na nafsi yangu imepoaaa

    Mambo matatu ya kipekee kwenye msafara wako mama.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia. Ampongeza kwa kuleta mageuzi makubwa ya uwekezaji

    Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo ======================== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anamwaga tu pesa. Ampa TSh. Milioni 2 Dulla Mbabe licha ya kudundwa

    Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia. Akizungumza katika tukio hilo...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana

    RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: CCM hawa Wachina ni wapiga kura wenu? Kwanini mmewavalisha Tshirt za Rais Samia?

    Wakuu, Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni. Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu. Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mafuriko ya Rais Samia katika Uwanja wa Mkwakwani

    Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda. Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia. Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga

    Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: CEO wa CRDB nae aunga mkono Vitumbua Challenge ya Steve Nyerere. Mama ndo "anapendwa" kiasi hiki?

    Wakuu, Baada ya Rais Samia jana kuonekana akiwa anakula vitumbua, msanii Steve Nyerere amezindua Challenge mitandaoni ya kuitwa "Vitumbua Challenge" kama mnavyoona pichani Muda mfupi baadae na Abdulmajid Nsekela CEO wa CRDB ameunga mkono "challenge" hiyo Zamani tulishazoea kuwa uchawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…