Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameendelea na kampeni ndani ya jimbo hilo ambapo alikutana na Umoja wa Mafundi wa Suye Garage, ambapo aliwahimiza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
Akizungumza...
Mwanasiasa mkongwe na Mbunge wa zamani wa Simanjiro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole Sendeka, amepinga vikali matukio ya utekaji yanayoripotiwa kutokea nchini, akiyataja kuwa ni vitendo vya hovyo na visivyokubalika katika taifa linalothamini haki na utu wa binadamu
Akizungumza...
kada wa chama cha mapinduzi (CCM), Baraka shamte amewataka chama kimsaidie Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hssan katika kumsafisha kwa propaganda zinazotokea kwenye mitandaoo ya kijamii
Chanzo: Mnana TV
Kupitia ukurasa wa Mtandao wa Kijamii Facebook Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula ameandika kuhusiana na Mkutano wa Rais Samia anayemaliza muda wake na pia ni Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kukutana na Viongozi wa Kanisa Roman Katoliki Muadhama Protase Kadinali Rugambwa na Askofu...
Moja ya hutoba za rais samia miezi michache iliyopita alisikika akisema haya? ''Mkiambiwa Rais wenu ni muuaji waambieni ndiyo ameua nguvu hasi ya wapinzani''
Soma pia: H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe
==
Ndugu Wananchi, akizungumza na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mrindoko, amesema:
“Chini ya Rais wa Awamu ya Sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Katavi umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 41.628 kwa sekta ya afya katika kipindi cha 2020/21–2024/25. Fedha hizi zimetumika...
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.
Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki...
Hivi unaijua elimu ya Rais Samia kwa mtaala wa Tanzania?
Hivi mnajua kuwa kidato cha nne hakufanya vizuri?
Hivi mnajua huyu ndiye Rais wetu na hii ndiyo level yake ya elimu?
Baada ya hapo akaenda chuo kikuu cha mzumbe kusomea diploma ya utumishi wa umma.
Soma pia: Polepole: Mchakato wa CCM...
Wakuu mnasemaje juu ya washauri wa mama? Maana namna wanavympeleka na mashauri yao mbona kama mashimo yao yapo hadharani sana? Nae haongezi chochote, ana beba ushauri kama ulivyo.
Tumpe kwanza heshima yake Masoud Kipanya!
Anaandika anasema "Like seriously unaenda kuteketeza
Tsh. 700+Billions kuingia kwenye uchaguzi kushindana na hawa‼️⁉️
Kweli Mama hao ndio washindani wako na unapata amani kuingia madarakani? Na unashika Mic unasema Wataweza Kweli?😁
No disrespect kwa hao wapinzani!!
BUT BIG ❌️
Nchi ina...
Rais Samia Suluhu Hassan ameutunuku jina la Dkt. John Samuel Malecela uwanja wa Nzuguni mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya kitaifa ya Nanenane yanayofanyika mkoani humo.
Akihutubia katika hafla ya maonesho ya 32 ya kilimo, mifugo na uvuvi, Rais Samia amesema awali...
Vijana wawili wa jamii ya kimasai Mkoani Arusha wamepigwa faini ya Dume moja badala ya kuchapwa fimbo 70 baada ya kumkashifu Rais Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika eneo la kata ya Elerai Mkoani Arusha.
Akizungumza katika Mkutano wa Mila ulioitishwa ili kulaani kitendo hicho Kiongozi wa...
My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
Wakuu
Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema
"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
Wakuu,
Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake.
Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la kisiasa.
Tunaomba kama vitenge vina picha ya Mwenyekiti wa CCM, watumishi wa umma wasilazimishwe...
https://www.youtube.com/live/gwDU3yG1pk4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Amepokea Tuzo ya Gates Goalkeeper Awards Hyatt Regency Hotel Dar es salaam, leo tarehe 04 Februari, 2025.
Akizungumza baada ya kupokea tuzo hiyo ametoa hutoba ambapo Rais Samia ameeleza...
Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea...
Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada ya kumaliza mhula wa kwanza hashindanishwi na wenzake ndani ya chama chake. Ilikuwa hivyo toka kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho ya Jumamosi natarajia kushiriki katika Maandamano Makubwa Mkoa Wa songwe ya Kumpongeza RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya Urais katika Uchaguzi Mkuu...