Baada ya Januar 03, 2026 Rais wa Marekani Donal Trump kutangaza kuwa vikosi vya jeshi lake vimemkamata Rais wa Venezuela Nicolous Maduro kumeibuka picha na video nyingi kuuhusu Rais huyo akiwa anakamatwa ama akiwa katika mikono ya wanajeshi wa Marekani.
Tangu aingie madarakani mwaka 2013, Rais Nicolás Maduro amekuwa na uhusiano wenye migogoro mizito na Kanisa Katoliki nchini Venezuela. Wakati Kanisa likijitambulisha kama mtetezi wa haki za binadamu na sauti ya maskini, serikali ya Maduro imekuwa ikilitazama Kanisa kama "adui wa kisiasa."
𝟭...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.