rais korea kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Rais Korea Kusini aliyehukumiwa kifungo cha maisha jela aomba radhi kwa kuvamia Bunge

    Wakuu, Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, Ijumaa aliomba radhi kwa kwa hekaheka zilizojitokeza kufuatia uamuzi wake wa muda mfupi wa kutangaza sheria ya kijeshi mwishoni mwa mwaka 2024, Yoon alitoa kauli hiyo siku moja baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la...
  2. R

    Rais wa Korea Kusini aomba radhi kwa Usimamizi mbovu wa Uasili wa Watoto nje ya Nchi

    Rais wa Korea Kusini, Lee Jae Myung, ameomba radhi rasmi siku ya Alhamisi kwa niaba ya taifa lake kutokana na usimamizi mbovu wa programu za uasili wa watoto nje ya nchi ambazo zilikuwa zimejaa udanganyifu na ukiukaji wa haki za binadamu. Hatua hiyo inakuja miezi kadhaa baada ya Tume ya Ukweli...
  3. Mindyou

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol aachiwa huru baada ya kuwa mahabusu kwa siku 52

    Wakuu, Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, aliachiwa huru Jumamosi baada ya kushikiliwa kwa siku 52, baada ya upande wa mashtaka kuamua kutokata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama uliobatilisha kifungo chake siku ya Ijumaa. Yoon alikamatwa Januari 15 na kufunguliwa rasmi mashtaka Januari 26...
  4. Stuxnet

    Rais Yoon wa Korea Kusini amekamatwa na Polisi kwa jaribio lake la kutangaza hali ya hatari (martial law)mwezi Desemba

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi. Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya...
Back
Top Bottom