rais andry rajoelina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Rais Andry Rajoelina akimbia Madagascar ili kulinda maisha yake kufuatia maandamano ya kitaifa

    Rais Andry Rajoelina amekimbia Madagascar ili kulinda maisha yake kufuatia maandamano ya kitaifa ambayo yalianza mwishoni mwa Septemba. Rajoelina alithibitisha kupitia hotuba ya moja kwa moja kwenye Facebook siku ya Jumatatu kwamba amesafiri kwenda eneo salama, kufuatia ripoti na uvumi kwamba...
  2. Mafyangula

    ‎Madagascar: Kikosi maalum cha Kijeshi chamwondoa Madarakani Rais Andry Rajoelina

    ‎ Kikosi maalum cha Kijeshi nchini Madagascar cha 'CAPSAT' kimetangaza kuchukua madaraka, kikimwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina, baada ya Wabunge katika Bunge la kitaifa kupiga kura ya kumwondoa, licha ya Rais Rajoelina kutangaza kulivunja kabla ya kura kupigwa. ‎Kwa mujibu wa #BBCNews...
  3. R

    Rais wa Madagascar avunja Bunge baada ya kukimbia nchi, Upinzani wadai si halali kisheria

    Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha mchakato wa kumng’oa madarakani kwa madai ya “kuacha wadhifa wake na kukimbia wajibu wake wa kazi”...
  4. R

    Rais wa Madagascar amteua Jenerali wa Jeshi kuwa Waziri Mkuu mpya, licha ya waandamanaji kumtaka ajiuzulu

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amemteua Jenerali wa Jeshi 'Ruphin Fortunat Zafisambo kuwa Waziri Mkuu licha ya Waandamanaji kutaka Rais ajiuzulu Uteuzi wa 'Ruphin Fortunat Zafisambo' umefanyika wiki moja baada ya Rais Andry Rajoelina kuvunja baraza lake la mawaziri kufuatia siku kadhaa za...
  5. R

    Rais Rajoelina avunja Serikali yake Kufuatia Maandamano Makubwa ya Vijana Madagascar

    Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, amevunja serikali yake Septemba 29, 2025 kufuatia kuongezeka kwa maandamano yanayoongozwa na vijana dhidi ya uhaba mkubwa wa maji na umeme. Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa mgogoro huo umesababisha vifo vya watu 22 na zaidi ya 100 kujeruhiwa, katika kile...
Back
Top Bottom