raia wa gaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Hamas waendeleza mateso kwa raia wa Gaza dunia iko Kimya!!

    Aliyemsifia Netanyahu na Trump kuruhusu misaada ya chakula avunjwa mikono na miguu. Magaidi kwa sasa wanauana wao kwa wao na dunia wako kimya kabisa!!
  2. Yoda

    Kwa nini dunia inashindwa kugawana raia wa Gaza kuwakoa na maafa yanoendelea huko?

    Gaza ambako kuna maafa makubwa ya kibinadmu yanaoendelea ni sawa na nusu ya Wilaya moja tu ya Tanzania. Gaza ina raia milioni 2, yakijitolea mataifa kumi ya Kiarabu kila moja kuchukua raia laki mbili inaa maana raia wote wa Gaza watakuwa na sehemu za kuishi na kuondokana na maafa yanaondelea...
  3. W

    Droni yarekodi Hamas wakifyatua risasi kwa raia wa Gaza waliokwenda kuchukua msaada wa Israel, wanazuia watu kupata chakula wanasingizia Israel

    Kwa muda mrefu imekuwa kawaida kwamba misaada ya kibinadamu inayoingia Gaza husimamiwa na Hamas. Lakini badala ya kuisambaza kwa raia wanaohitaji, mara nyingi misaada hiyo huuziwa sokoni au hufichwa kwa manufaa ya kundi hilo. Israel iliamua kuchukua hatua tofauti kwa kusambaza misaada moja kwa...
  4. Echolima1

    Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

    Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel. Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na...
  5. hamis77

    Raia wa Gaza sasa akili zimerudi

    Raia wa Gaza sasa akili zimerudi Waikataa Hamas lakini Hamas wamewamininia risasi waandamanaji. Trump alisema Hamas itaenda kuishi kuzimu, huenda maneno yake yanaenda kutimia. Viongozi wa Hamas hawana pa kujificha tena, maana kila sehemu wanakoenda wanauawa. Israeli juzi ililipua hospitali ya...
  6. hamis77

    Raia wa Gaza wamerudi kuwa wakimbizi tena baada ya kurudi Gaza. Na Hamas wanazidi kufyekwa kila siku

    Raia wa Gaza wamerudi kuwa wakimbizi tena baada ya kurudi Gaza. Na Hamas wanazidi kufyekwa kila siku. Siku zote wamama na watoto ndio wahanga wa vita. Ukisikiliza vilio vya wamama katika clip hiyo unaweza ukalia machozi. Mmoja ameshuhudia mume wake na watoto wake wawili wakipasuka vipande...
Back
Top Bottom