rafiki mnafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kati ya umbea, uchoyo, kuongea sana, uvivu na uchafu, ni kipi huwezi kabisa kukivumilia kwa rafiki yako? Na kwa nini?

    Kuna siku niligundua kuwa rafiki yangu wa karibu sana ana wivu. Kila nilipomshirikisha mafanikio yangu, badala ya kufurahi pamoja nami, alikuwa akitafuta namna ya kujilinganisha na mimi. Nilipomwambia nimepandishwa cheo, hakufurahi hata kidogo. Badala yake, akaniambia na yeye bosi wake...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
Back
Top Bottom