radio one

CBC Radio One is the English-language news and information radio network of the publicly owned Canadian Broadcasting Corporation. It is commercial-free and offers local and national programming. It is available on AM and FM to 98 percent of Canadians and overseas over the Internet, and through mobile apps. CBC Radio One is simulcast across Canada on Bell Satellite TV satellite channels 956 and 969, and Shaw Direct satellite channel 870.A modified version of Radio One, with local content replaced by additional airings of national programming, is available on Sirius XM channel 169. It is downlinked to subscribers via SiriusXM Canada and its U.S.-based counterpart, Sirius XM Satellite Radio.
In 2010, Radio One reached 4.3 million listeners each week. It was the largest radio network in Canada.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamari za Radio One, Clouds FM na EFM

    Habari zenu wadau, Pamoja na habari hii mimi nimekuwa mtu wa kufuatalia sana masuala ya uchumi ambapo ndio kada yangu niliyobobea ingawa si kwa kiwango kikubwa saaaana. Mwaka jana, kuliibuka kamari/bahati nasibu ambazo binafsi sikuelewa msingi wake hasa ni nini. Bahati nasibu hizi...
  2. Asanteni Radio One, Watangazaji Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuniheshimisha na Kuuheshimisha Mtandao wa JamiiForums leo

    Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi...
  3. Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  4. Nimemsikiliza Mzee Butiku dakika 45 za ITV na Radio One ameongea mengi, ila haya ndiyo yameonyesha kwanini Yeye ni Hazina ya Fikra Kubwa Tanzania

    1. Tanzania bado ina Viongozi Waonevu na bahati mbaya tena wengine bado tu wanarandaranda Mitaani na sijui kwanini hawagusiki na wanaogopwa na wenye Kuwawajibisha. 2. Tunataka Katiba Mpya je, yale yaliyopo Katiba iliyoko tumeyatekeleza hata kwa 75%? 3. Taifa letu sasa lina Watu Wanafiki ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…