pumba na mchele

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Mzee Kikwete kwanini Bunge wakati wake walichanganya pumba na mchele lakini la Samia hataki?

    Kashfa kubwa zilizoibuliwa ndani ya Bunge (2005–2015) wakati wa Utawala wa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete, bunge lililojumuisha pumba na mchele (wabunge wa chama tawala na upinzani) 1. Richmond/Dowans (2006–2009) Serikali iliingia mkataba wa dharura wa kuzalisha umeme na kampuni ya Richmond...
  2. R

    GE2025 Mwenyekiti wa ADC Shaban Itutu: Kauli ya Rais Mstaafu Kikwete ya 'Pumba na Mchele' inakejeli Upinzani na kuumiza Demokrasia, ajitokeze aombe radhi

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) Taifa, Shaban Itutu, amemtaka Rais mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuomba radhi kwa umma wa Watanzania kutokana na kauli yake kuhusu ushindi wa CCM katika uchaguzi...
Back
Top Bottom