programmers

  1. JamiiForums Tanzania Programmers Only: Application ya Kuingiza neno moja na kupata maneno mengine

    Application hii ambayo nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya kujifunza Computer programming ,inawezesha kuingiza neno moja halafu,herufi za hilo neno zinaweza kutumiwa kuunda maneno mengine.Mfano ukiingiza neno cat herufi 3 za neno cat zitatumiwa kuunda maneno mengine.Hesabu inaonyesha neno lenye...
  2. JamiiForums Tanzania Jaribu kufanya haya unapotaka kujifunza programming

    Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri...
  3. JamiiForums Tanzania Check my site. Category zimepinda

    Habari jamani Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee. SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A Trusted Gateway to Your Dream Career!
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS

    Msaada tutani: Kwa wale ambao ni Programmers, naomba msaada wa kufupisha hii program kwenye DOS Notes: 1.The abbreviation DOS_COMMAND stands for any DOS command like copy, mkdir, etc. 2.The sub-directories 2019001, 2019002, 2019003,...........,2019363, 2019364, 2019365 are in the same MAIN/...
  5. JamiiForums Tanzania Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…