professa janabi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. meningitis

    Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO

    Hii ni taarifa ya hivi punde. Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa. Pongezi nyingi kwake na watanzania. =============== Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa...
  2. L

    Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  3. K

    Ninakupongeza sana Professa Janabi kwa maelezo yako wakati wa usaili

    Nimemsikiliza Prof. Janabi katika maneno yake ya utangulizi(introductory remarks ) wakati wa usaili wake mbele ya jopo. Hongera sana Prof. Janabi. Umejieleza vizuri sana na hata maswali uliyoulizwa umejitahidi sana. Nimshukuru Mhe. Rais kwa mapendekezo yake kwa Prof. Janabi kugombea nafasi...
Back
Top Bottom