Katika makala yake yenye kichwa "Terrorising Academic Freedom in Tanzania" Profesa Issa Shivji amekosoa mashitaka ya ugaidi yanayoendelea nchini, akisema ni ukandamizwa kwa uhuru wa kitaaluma na ongezeko la matumizi ya nguvu za dola nchini Tanzania.
Akijadili kuhusu kukamatwa kwa wanataaluma...