prof. kitila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Amjibu Heche "Uongozi wa nchi sio uji kwamba kila mtu anataka apewa kuonja"

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, akisisitiza kuwa uongozi wa nchi unahitaji mipango na kura za wananchi badala ya maombi ya ‘kupewa’ nchi ili kuijaribu. Akizungumza leo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tunawaheshimu uamuzi wa bunge la Ulaya kuzuia msaada Euro Milioni 156, lakini hatuwezi kusikitika, hatuwezi kulia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amebainisha kuwa serikali haitayumba kiuchumi kufuatia hatua ya Bunge la Ulaya kuzuia msaada wa Euro milioni 156 (takriban shilingi bilioni 400) uliopangwa kutolewa kwa kipindi cha miaka mitano. Akizungumza katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru Rais Samia kwa kunipa fursa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Ualimu unalipa zaidi kimaslahi kuliko Siasa, ukiwa mwalimu unaenjoy

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa "Kuwa mwanasiasa ina...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Wakati tukizidisha mapambano dhidi ya rushwa, tuondoe mtazamo kwamba kila mwenye hela ni mwizi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 23, 2026 Bungeni Dodoma, amesema wakati mapambano dhidi ya rushwa yakiendelea ni vyema watu kuachana na mtazamo wa kuwa kila mwenye hela ni mwizi kwani wapo wanaotafuta hela kwa bidii. "Wakati...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoza ushuru wa forodha wa kiwango cha 10% kwenye mafuta ya kula

    Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2026/27 leo Juni 11, 2026, Bungeni, Dodoma, amesema kuwa erikali imependekeza kufanya marekebisho makubwa kwenye kodi na ushuru wa mafuta ya kula, ikiwa ni pamoja na kuanza kutoza ushuru wa forodha wa...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Watanzania Masikini wamepungua kwa 25%

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema takwimu zinaonesha kuwa kiwango cha umaskini wa mahitaji ya msingi Nchini Tanzania Bara kimeendelea kupungua kwa miaka ya hivi karibuni kutoka asilimia 34.4 (mwaka 2007) hadi asilimia 25.1 (mwaka 2025). Akiwasilisha Bungeni taarifa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Pato la Taifa kwa Mtu umeongezeka kwa asilimia 7.4 na kufikia Milioni 3.5

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo leo Juni 11, 2026 amesema wastani wa Pato la Taifa kwa Mtu umeongezeka kwa asilimia 7.4 na kufikia shilingi 3,544,124 (dola 1,390) mwaka 2025, ikilinganishwa na shilingi 3,299,637 (dola 1,264) mwaka 2024. Akiwasilisha Bungeni taarifa ya hali...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Tanzania tuna vitaasisi vingi, vinasumbua biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo. Prof. Mkumbo alisema hayo Machi 27, 2026, wakati wa mkutano wa uhakiki wa rasimu ya mpango wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Tunajisahau sana tunaopewa mamlaka ya Kiserikali tunadhani ni bosi wa kila mtu

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II), amesema viongozi wanaopewa mamlaka ya Kiserikali huwa...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara ‎ ‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Nitatatua changamoto ya usafiri wa mwendokasi Kimara

    Huyu naye kama alikuwa hayupo Dar hivi miaka yote hiyo, leo hii ndio aseme atatatua changamoto ya mwendokasi Kwamba siku zote alikuwa wapi? Uongo mwingine ni wakishamba sana. Analipambania tumbo lake tu hapo hakuna lolote ==================== Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17

    Prof. Kitila Mkumbo, Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM, akihojiwa na ITV anukuliwa akisema, "Tunashindana na vyama 17 Watanzania waelewe nchi hii ni ya vyama vingi sio vyama viwili.....huko Marekani ni nchi ya vyama viwili sio Tanzania."
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za maoni Ubungo

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Ubungo ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza mara baada ya kupiga kura ya maoni leo Agosti 4, 2025 katika kituo kilichopo kwenye ukumbi wa Kibo Park uliopo Ubungo Kibo, ambapo amepongeza zoezi hilo akisema...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila abanwa mbavu na Wajumbe CCM, wakumbusha ahadi ya ujenzi wa ukingo wa Mto Gide

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ubungo, wilayani Ubungo mkoani Dar es Salaam wamehoji kwa sauti moja hatua za Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Profesa Kitila Mkumbo, kuhusu utekelezaji wa ahadi zake mbalimbali ikiwamo ujenzi wa ukingo wa Mto Gide ambao...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo Wewe ni Mtani wangu kutoka Singida, ila kwa 'Upuuzi' kama huu ndiyo maana huwa Nakudharau na siiamini 'Doctorate' yako kabisa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema vyombo vya habari nchini havipaswi kuwa neutral (kutokuwa na upande), bali viwe objective yaani kuwa na misimamo yenye msingi wa ukweli na uchambuzi makini. Amesema hayo Julai 8, 2025 jijini Dar es...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo atunukiwa tuzo ya uongozi mahiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo, ametunukiwa tuzo maalum na Baraza la Wafanyakazi wa ofisi hiyo kama ishara ya kutambua uongozi wake mahiri na mchango mkubwa katika kusimamia ajenda za maendeleo ya taifa. Kabla ya kukabidhi tuzo hiyo, Katibu...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna watu Waongo, halafu kuna Prof. Kitila, "Madumu ya Maji yamepotea Dar, ashukuriwe Rais". Dar ipi hiyo???

    "Kwa miaka mingi sana Jimbo la Kibamba lililopo wilaya ya Ubungo limekuwa na shida kubwa ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam, hata hivyo mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ulisikia kilio cha wananchi wa jimbo hili kilichopazwa kwa niaba yao na Mbunge wao Mheshimiwa Issa Mtemvu, hatimaye serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…