==
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya tatu katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo ya kuharakisha maandalizi ili huduma ianze mapema.
Katika ziara hiyo, Majaliwa alikagua barabara kuu za mradi, vituo vya abiria...
==
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Viwanja vya Sabasaba kwa njia ya Ubia PPP.
Uwanja huo wa kisasa Ukanda Mzima wa Africa Mashariki unatarajiwa...
==
Mchambuzi nguli wa mambo ya Fedha na Uchumi Dkt Bravious Kahyoza katika mahojiano yake na kituo cha runinga cha Wasafi TV katika kipindi maarufu cha One on One alisema kuwa Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anaonesha msukumo mkubwa kwenye maswala ya Ubia, PPP.
Dkt Kahyoza anasema...
==
Katika hotuba yake bora ya kihistoria ya kufunga mwaka wa 2024 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzània Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameitangazia Tanzània na Dunia kuwa mwaka 2025 utakuwa ni mwaka ambao Serikali yake itajikita zaidi katika kuvuta na kutumia mitaji ya sekta...
KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi amezungumza na kuchangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.