polisi zanzibar

Polisi Sports Club is a football club from Zanzibar.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    Maafisa na Askari wa Polisi Zanzibar washirikiana na Vyombo vya Usalama katika matembezi ya ukakamavu

    Leo, tarehe 10 Oktoba 2025, maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Polisi Zanzibar na Mkoa wa Mjini Nagharibi Unguja wameungana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na Idara Maalum ya Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika matembezi ya pamoja...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Zanzibar: wasichana wanaodaiwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kukwepa kupata ujauzito, wanastahili adhabu Kisheria

    Wakili na Mwanasheria wa Jeshi la Polisi nchini Kamisheni ya Zanzibar, Sadik Ali Sultan amesema wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile wana makosa kwa mujibu wa sheria na wanastahiki kushtakiwa na kufungwa kutumia adhabu ya makosa yao. Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa onyo kwa viongozi wa siasa kutumia vibaya uhuru wa kujieleza

    Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
  4. Suley2019

    Zanzibar: Polisi watolea ufafanuzi sakata la Mauzinde kukatwa masikio

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limetolea ufafanuzi juu ya tukio la kushambuliwa kwa Kijana Mmoja anayefahamika kwa jina la Maulid Hussein Abdallah maaraufu Mauzinde Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja Kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi SACP Daniel Shilla...
Back
Top Bottom