Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo inayosambazwa katika mitandao ya kijamii ikionesha Askari Polisi akipambana na mtu mmoja huku akiwa na silaha ya moto.
Taarifa sahihi ni kuwa, mnamo Januari 15,2026 majira ya saa nane mchana katika...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kutekwa kwa Fredrick Mang'era Kemange maarufu British, mkazi wa Kijiji cha Gwitiryo Sirari likieleza kuwa linamshikilia kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uchochezi na kuhamasisha vurugu Desemba...
Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda.
Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi?
=================
Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
Polisi Mkoa wa Tarime Rorya wamekanusha madai ya utekaji katika mji wa Sirari, wakisema tukio lililotajwa ni operesheni ya kawaida ya kukamata watuhumiwa wawili.
Tukio hilo lilitokea Oktoba 21, 2025 saa 11:30 jioni na watuhumiwa walipelekwa kituo cha polisi kwa hatua za kisheria.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.