Wakuu,
Hali ya mtoto mchanga aliyetelekezwa kwenye nyumba ya kulala wageni sakafuni eneo la mapokezi wilaya ya Nzega mkoani Tabora akiwa na siku tano baada ya kuzaliwa inaendelea vizuri huku akiwa chini ya uangalizi madaktari katika hospitali ya wilaya ya mji wa Nzega. Mama wa mtoto huyo bado...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Wakuu,
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.