Pole pole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika, Gwajima ameshasahaulika hata na Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika.
Ni neema ya Mungu pekee ndio itatuokoa, maana tunaowategemea watutetee (polisi+wanajeshi) ndio kwaaanza wanaunga mkono haya machafuzi ukijenga...
Ndugu Humphrey Polepole akizungumza na jamii kupitia Social Media siku chache zilizopita, amemtaka Rais Samia kuzungumzia masuala ya Wanyonge, Ujamaa, haki na kadhalika kwenye kampeni zake kuelekea uchafunzi mkuu hapo 29 Oktoba 2025.
Pamoja na mambo mengine, mimi ninakubaliana na baadhi ya hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.