plate number ssh2530

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zanzibar: Magari yenye plate number za Mwinyi 2025 na SSH 2530 zakamatwa

    Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kwa kushirikiana na Mamlaka ya usafiri na usalama barabarani pamoja na mamlaka nyingine zimefanikiwa kukamata namba zisizotambulika na mamlaka husika zilizokuwa zikifungwa katika eneo la kibati cha namba (Plate number) kwenye vyombo vya moto. Akizungumza...
  2. Waufukweni

    GE2025 Msako magari yenye 'plate number SSH 2530' wanasa 15 Dar

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu 15 kwa tuhuma za kukutwa wakitumia namba za SSH 2530 kwenye magari. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni sehemu ya utekelezaji onyo la kutotumia namba hizo baada ya Septemba Mosi, 2025. Awali, Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji...
  3. I

    GE2025 Msemaji wa Polisi: Ukiziona tena gari zenye 'plate number SSH 2530' toa taarifa

    Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba tayari Jeshi hilo limechua hatua kuhusu magari yaliyokuwa na namba za usajili SSH2530 ambapo amesema kwamba kwa sasa magari hayo hayataonekana. Amesema kwamba baadhi ya magari yenye namba hizo yamekamatwa huku akitoa wito kwa...
Back
Top Bottom